ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 28, 2016

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI UZINDUZI WA NDEGE MPYA ZA ATCL.

Tazama hotuba ya Rais John Magufuli wakati wa uzinduzi wa ndege za shirika la ndege Tanzania ATCL.

Hotuba Ya Rais Magufuli Uwajibikaji Wa Watendaji ATCLKauli ya Rais Magufuli kuhusu utendaji kazi wa watumishi wa ATCL na namna baadhi ya watumishi wanavyohujumu shirika hilo.

Kauli Ya Rais Magufuli Ununuzi Wa Ndege 2 NyingineKauli ya Rais Magufuli kuhusu kununua ndege mbili mpya zenye uwezo kubeba abiria 160, kuleta treni ya umemea Dar es Salaam.

Rais Magufuli Akikagua Ndege Za ATCL
 Rais Magufuli akiingia ndani ya ndege kwa ajili ya kuzindua rasmi ndege mpya za shirika la ndege Tanzania ATCL.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.