ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, September 22, 2017

TCRA YAWAPIGA MSASA WAMILIKI WA MITANDAO (ONLINE MEDIA)

 Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),  Frederick Ntobi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha juu ya matumizi ya vyombo vya habari Mtandaoni (Online Media) iliyowashirikisha wanachama wa Tanzania Bloggers  Network (TBN), kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. 
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wajumbe wa Kamati ya Maudhui ya TCRA  wakihudhuria warsha hiyo
 Sehemu ya wamiliki wa mitandao mbalimbali wakihudhuria warsha hiyo ya siku moja



 Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi (kulia) akiwa meza kuu.  Anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA,  Mhandisi James Kilaba, Mwenyekiti wa Kamti ya Maudhui ya TCRA, Bibi Msoka na James Kilimba ambaye ni Mkurugebnzi wa Bodi ya TCRA.

 Mablogga wakiwa makinini kusikiliza wakati wa warsha hiyo. Kutoka kushoto ni Kranz Mwantebele,  Adam Mzee na Dotto Mwaibale







Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.